Amapiano Lyrics – Baba Levo

Kama vipi Bob tetemesha
Bob tetemesha, Bob tetemesha
Tetemesha waonyeshe mikogo
Tupo club mwaha mabeer

Washikaji waonyeshe michongo
Waonyeshe manjia
Kisha cheza kiminyato
Ama cheza kimikato
Cheza kama battle
Vua mpaka na viatu

Nasema cheza kiminyato
Ama cheza kimikato
Cheza kama battle
Vua mpaka na viatu

Woo, lalala, woo lalala
Wo woo wo lala lala

Amapiano, mapiano
Amapiano mama, mapiano
Amapiano, mapiano
Amapiano mama, mapiano

Kama vipi Bob tetemesha (Amapiano)
Bob tetemesha (Amapiano)
Sisikii Bob tetemesha (Amapiano)
Kama vipi tetemesha (Amapiano)

Amapiano, amapiano
Amapiano, amapiano
Amapiano, amapiano

Cheza kiminyato
Ama cheza kimikato
Cheza kama battle
Vua mpaka na viatu

Cheza kiminyato
Ama cheza kimikato
Cheza kama battle
Vua mpaka na viatu

Amapiano, mapiano
Amapiano mama, mapiano
Amapiano, mapiano
Amapiano mama, mapiano